The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kama akianza ...



Walker ---dias ----laporte ---ake

Kidogo ukuta wetu unakuwa imara ...

Akanji anafanya makosa mengi Sana ,....
 
Sijui kwa nini Pep hamwamini Ortega. Au ulaya nako wanapiga Misumari kama bongo.

Ortega kipa mzuri Sana kuliko Ederson
 
Sijui kwa nini Pep hamwamini Ortega. Au ulaya nako wanapiga Misumari kama bongo.

Ortega kipa mzuri Sana kuliko Ederson
Ederson anabebwa na footwork,kuweza kupiga long ball vzuri ....

Kuhusu saves ,Ortega is the best ...


Mpaka ederson apate injury vinginevyo itakuwa ngumu sana kumuweka bench ederson...
 
Ake akiweza kumuweka mfukoni Saka kama alivofanya fa ,basi arsenal hana pa kutokea ..


Martinel na Saka ndio watu wa kuangalia Sana ,arsenal anashambulia kutoka pembeni ....
 
Ederson anabebwa na footwork,kuweza kupiga long ball vzuri ....

Kuhusu saves ,Ortega is the best ...


Mpaka ederson apate injury vinginevyo itakuwa ngumu sana kumuweka bench ederson...
Kwa namna City wanavyocheza wana ruhusu sana counter attack, Ortega ndiyo suruhisho
 
Hawa arsenal lazima wanakuja na mbinu ya marking man to man ....kila mtu na wake ...

Ndio waliyokuja nayoo kwenye fa ,walicheza vzuri ....japo tuliwafunga...


Saizi nahisi watakuja hivo ...
 
Uzuri pale kati namuona jogihno mzee wa back pass ,inatakiwa tutumie pengo la partey vzuri ...
 
Naona kabisa arsenal waki turn up ,hakuna kuogopa kama zamani watacheza mpira ...


Mfumo wa marking man to man ,ni kuwa mchezaji mmoja akijisahau tu ,basi wanakuta mpira nyavuni ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…