Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hio ndio "End of an era" kati ya Liverpool na Man City aliyoizungumzia Sir Ten Hag baada tu ya kutua kwenye dimba la Old Trafford.[emoji2424] Pep Guardiola: "Some people expect us to come and win 4-0. I'm sorry, it's not that easy! We don’t have the team to compete with them in transitions; they're better than us, faster, quicker, except Kyle Walker and Erling Haaland. The pace they have, we don’t. That’s why we have to have the game with control that we had first half.."
Kikosi chetu mdogo mdogo kinapungua makali,hatuna wachezaji wakali wa kuamua game tuwe wakweli ...tuna average players...mpaka pep hana imani na kikosi chake ....
Bila haaland na kdb team kuscore goli zaidi ya 3 ni mtihani mkubwa sanaa....
Kama pep asipoingia sokoni msimu ujuo kuleta world class player ,Hawa kina Gomez ,akanji ,ake uwezo wao ndio ule ,kutegemea maajabu kutoka kwao ni uongoo mkubwa ,tunaenda kuchezea anguko kubwa Sana kuzid hata Liverpool...Hio ndio "End of an era" kati ya Liverpool na Man City aliyoizungumzia Sir Ten Hag baada tu ya kutua kwenye dimba la Old Trafford.
Kwa haya yanayotokea sasa nimejikuta namuogopa na kumuheshimu sana yule mzee, licha ya kua ni kocha bora kabisa kwa sasa duniani pia ana maono ya mbali.
View attachment 2527153
Una maanisha ukiacha kdb wengine wote ni average players?[emoji2424] Pep Guardiola: "Some people expect us to come and win 4-0. I'm sorry, it's not that easy! We don’t have the team to compete with them in transitions; they're better than us, faster, quicker, except Kyle Walker and Erling Haaland. The pace they have, we don’t. That’s why we have to have the game with control that we had first half.."
Kikosi chetu mdogo mdogo kinapungua makali,hatuna wachezaji wakali wa kuamua game tuwe wakweli ...tuna average players...mpaka pep hana imani na kikosi chake ....
Bila haaland na kdb team kuscore goli zaidi ya 3 ni mtihani mkubwa sanaa....
Huyo ndio key player mwenye uwezo wa kutengeneza open chance Kwa wengine .....Una maanisha ukiacha kdb wengine wote ni average players?
Kwahiyo Gundogan, bernado, rodri, mahrez ni average players kwasababu hawawezi kumtafuta haaland?Huyo ndio key player mwenye uwezo wa kutengeneza open chance Kwa wengine .....
Gundo ,rodri ,Mahrez , grealish,Hawa wanajitahidi kuwa na possession football bila kuwa na threat kwampinzani ...
Hao wote hakuna hata aliyekuwa ana risk kupiga mipira mbele Kwa haaland ....
Bernado jana kapiga kazi bana..Gwadipara anasema Bernardo amechoka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Msipopata matokeo mnayotaka, lazima mtafute machaka ya kujfchia
Unyama sana
Kama timu inashindwa kupata ushindi na unasema tumecheza vzuri ,basi ndio maana nasema "hatuna mentality ya ushindi na hatuwezi chukua CL Kwa mentality ya hivo "Jana tumecheza vizuri sana kipindi cha kwanza.
Kipindi cha pili leipzig walikuja kushambulia zaidi na kutupress kuanzia golini, wakapata bao la kusawazisha.
Baada ya hapo tukaanza kushambulia tena lakini hatukufanikiwa.
Kukosekana kwa link kati ya midfielders na haaland lilikuwa ni tatizo mojawapo lililotuangusha tukashindwa kuwa outscore leipzig.
Mtu anakuja kusema timu haina passion, wachezaji hawajiamini sijui mara kocha hajiamini really?!
Pep kusema si rahisi kushinda goli 4 kwa leipzig hajiamini?!!
Tumecheza vizuri kucontain pressure ya leipzig kuliko hata msimu uliopita tulivyokutana nao.
Kukosekana kwa KDB ambaye huwa ana link-up vizuri na haaland ni factor mojawapo iliyotufanya tukashindwa kuscore goals lakini pia hata defense ya leipzig iko vizuri.