The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game ilikuwa ngumu, palace walikuwa wanacheza physical Game zaidi, tumetengeneza nafasi kadhaa ambazo tumeshindwa kuzitumia.

Kuingia kwa Alvarez kulichangamsha pale mbele na kuongeza threat golini kwa palace.

All in all mkubwa ni mkubwa tu, point 3 muhimu, next ni leipzig
 
Against leipzy nisipo muona kdb ,Mahrez foden ....

Basi tunaaga mashindano mapema ,Mahrez na foden ndio winger zetu Kali zenye uzoefu CL...
 
Another tough game from crystal palace as usual, a hard fought win for city.

Congratulations the cityzens.
 
Against leipzy nisipo muona kdb ,Mahrez foden ....

Basi tunaaga mashindano mapema ,Mahrez na foden ndio winger zetu Kali zenye uzoefu CL...
Grealish ni undropable kwa sasa tegemea kumuona.

Foden na mahrez wata battle kwenye right flank.
 
A 28th goal for haaland in EPL, a 34th one in all competitions this season.
 
Nyie MamaCita mkipoteza game ya leo mtawafanya Arsenyo wazidi kuvimba kichwa, hebu watandikeni hao Palace ili mzidi kuitia presha hio misukule ya Arteta.
Mambo ni bumper to bumper mpaka kielewekeee
 
Daa bila kdb midfielders zetu hazina ubunifu ...
Pep huwa anachelewa kufanya maamuz sjui kwann tu. Unaona kabisa tunahangaika kutengenez nafasi lakini bado hafanyi maamuz, tungedroo angekuwa na yeye kachangia
 
Pep huwa anachelewa kufanya maamuz sjui kwann tu. Unaona kabisa tunahangaika kutengenez nafasi lakini bado hafanyi maamuz, tungedroo angekuwa na yeye kachangia
Ni kweli ila Jack Grealish wake akiwa nje huwa hakawii kumuingiza huyu kipara sometime huwa anatuchomesha vibaya sana.
 
Ni kweli ila Jack Grealish wake akiwa nje huwa hakawii kumuingiza huyu kipara sometime huwa anatuchomesha vibaya sana.
Mbona grealish saivi anaupiga mwingi tu?
grealish wa saivi ana impact kwenye game.
 
Our incredible Rodrigo.

Rodri vs Crystal palace.

112 touches.
81 accurate passes.
88% pass accuracy.
8 ground duels won.
6 accurate long balls.
4 successful dribbles.
3 tackles.
3 aerial duels won.
2 shots blocked.
1 key pass.
1 interception.
1 shot on target.
1 accurate cross.
 
Julian Alvarez anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5 (renewal) siku ya jumatano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…