The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man city hatuna huruma na kenge yeyote yule haijalishi ulikuwa mchezaji wa man city ni Kichapo kwa kwenda mbele bado wawili tu Bayern na yule kichwa govi wa arsenyeto
 
Man city hatuna huruma na kenge yeyote yule haijalishi ulikuwa mchezaji wa man city ni Kichapo kwa kwenda mbele bado wawili tu Bayern na yule kichwa govi wa arsenyeto
Dah, eti kichwa govi, Ngoja nkaku report kwenye jukwaa la wana arsenyeto unawatukania kichwa govi wao.
 
Semi final ...

Sasa watuleteee yeyote hata nyumbu ,hili kombe lazima tuchukue ...
 
Ila Alvarez Leo kapiga kazi asee, ile work rate yake ni kubwa mno.

Dah Kompany atusamehe sana.
 
Ila Alvarez Leo kapiga kazi asee, ile work rate yake ni kubwa mno.

Dah Kompany atusamehe sana.
Baada ya haaland kutoka ndio Alvarez anapata nafasi ya kufunga ...

Haaland + Alvarez...Bado kivuli cha haaland kinamfunika Alvarez ...
 
Baada ya haaland kutoka ndio Alvarez anapata nafasi ya kufunga ...

Haaland + Alvarez...Bado kivuli cha haaland kinamfunika Alvarez ..
Alvarez alikuwa ana majukumu tofauti wakati haaland yumo, alikuwa anacheza chini ya haaland ,alipotoka ndio Alvarez akawa central striker.

Kwenye hizo nafasi zote mbili kakiwasha sana.
 
Crystal palace wametimua kocha kesho wanaweza kuingia na energy kubwa kidogo wakapata hata sare na arsenal...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…