The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Do you remember John Brooks?

Huyu bwana ni mwezi mmoja tu umepita toka alipoondolewa kwenye majukumu ya VAR baada ya kufanya makosa ya wazi kwenye mechi ya Brighton vs Crystal palace.

Alichora mstari wa offside kutoka kwa beki wa palace ambaye hakuwa wa mwisho na kupelekea goli la Brighton kukataliwa.

Huyu bwana amerudishwa tena na amechaguliwa kwenye VAR kwaajili ya mechi ya MAN CITY VS LIVERPOOL.

Fingers crossed.
 
Bellingham € 100+ million.
Gvardiol € 100+ million.

Bellingham sionagi maajabu yake kabisa yan.

Tutakuwa wajinga kulipa € 200+ million kwa watu wawili tu.
Borrusia wanataka 100m-180m kwa Bellingham.
Leipzig wanataka 110m kwa Gvardiol.

Demand yao sokoni ndio inawafanya wanakuwa na price hizo japo kwa Gvardiol naona kama kawa overpriced.
 
Bellingham € 100+ million.
Gvardiol € 100+ million.

Bellingham sionagi maajabu yake kabisa yan.

Tutakuwa wajinga kulipa € 200+ million kwa watu wawili tu.
Sioni kama tunaweza kuwachukua wote wawili sababu zinahitajika sajili za kutosha kurefresh kikosi, kuspend pesa yote hiyo kwa watu wawili utakuwa ukichaa.
 
Borrusia wanataka 100m-180m kwa Bellingham.
Leipzig wanataka 110m kwa Gvardiol.

Demand yao sokoni ndio inawafanya wanakuwa na price hizo japo kwa Gvardiol naona kama kawa overpriced.
Mimi naona tungeachana na Gvardiol tukamchukue yule dogo Vuskovic bei chee tu atatufaa kwa future baada ya kina Laporte na stones kuchoka (Dias na Akanji bado umri ni rafiki) ila Kwa sasa bado tuna mabeki wa kati wa kutosha hakuna haja ya kuspend big kwa gvardiol.

Inatakiwa kutafuta left back,right back na viungo wawili (kama bernado na gundogan wakiondoka).
 
Hata kama gundogan na silva wakibaki bado inaitajika dam changa pale kwenye kiungo, kdb na gundo umri unaenda.
Wanahitajika watu wa kuwa wanawapumzisha baadhi ya mech.
 
Hata kama gundogan na silva wakibaki bado inaitajika dam changa pale kwenye kiungo, kdb na gundo umri unaenda.
Wanahitajika watu wa kuwa wanawapumzisha baadhi ya mech.
Unajua kuwa foden natural position yake ni attacking midfielder?

Japo ni kwa zaidi ya miaka mitatu Pep hajamtumia kwenye hilo eneo lakin ndio asili ya foden, amegraduate academy kama attacking midfielder na pep mwenyewe ashaweka possibility ya kumtumia tena kwenye hilo eneo kwa siku za mbeleni.
Grealish pia ni attacking midfielder naturally na ndipo anapokua na makali.

NB:sisemi kuwa hatuhitaji kuleta fresh midfielder ila sio kwa ulazima sana kama Gundogan na Bernado wakiendelea kubaki.
 
EXCLUSIVE:

Man City set to lauch a €100 million deal for Gabriel Veiga (20).

This is according to a new report from _Marca who claimed that City are now ready to activate Gabriel Veiga's €40 million release clause to prise the spanish attacking midfielder away from Celta Vigo this summer.

The overall package from City will be around €100 million including a five year contract worth €60 million.

The report states that, unless Real Madrid can match City's package, then the player will now be joining the Premier league champions.

_CityXtra
 
Uzembe wa namna iyo af bado wanamrudisha?
 
Hivi Benjamin Mendy yuko wapi sku hizi
Taarifa za mwisho za Mendy zilionesha kiwa hana hatia katika makosa yake ya ubakaji yaliyokuwa yanamtuhumu .....

Sioni kama anaweza kurudi Tena ,maana mara nyingi clubs zikishaona mechezaji anahizo tuhuma wanaogopa kumrudisha maana wanaweza kuharibu brand....wanakuwa kama vile wanasupport hivo vitendo ...
 
Duh so yupo yupo tu,mana hata mancity hawajamweka kwenye list ya players wao
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "It’s no different to prepare with or without Erling Haaland - it’s all about the quality of the players, always."

"We have incredible physios, but injuries happen. At this stage of the season all the players will be involved.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…