Sawa tuchelNaona sura za mashabiki wengi wa Man city ni wachina, Thailand, Korea, nchi zilizochelewa kuujua mpira.
Weraaaaaaaaaaaa!naona B" kaongeza furaha Etihad[emoji120]
Jamani jamani mwenzenu kwa furaha nilonayo hapa hata usingizi sina sasa naona kazi tuimalizie Etihad leo hawa mbuzi mawe wakasimlie vizuri walikotoka.Halaaaaaand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni salamu kwa Arsenyani.Bayern ni mavi tu
Ambazo ni buyern sioUEFA ina timu zake tunawakumbusha kabisa
Pigo Kwetu Hili [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni salamu kwa Arsenyani.
[emoji16]Hakuna cha kuwatenganisha Man City na ubingwa wa EPL na UEFA