Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Inanikumbusha wale watu wanaongozaga test alafu necta wengine tunachipuka from no where π π π π π daaaah man city ana tabia kama zangu kabisa asewHii kitaalamu inaitwa
"ligi ongoza ila muda wa kombe unipishe"
Tulikua tunafukuza mwizi kimyakimya kuna nguchiro zikajiona mabingwa [emoji1787]Inanikumbusha wale watu wanaongozaga test alafu necta wengine tunachipuka from no where
daaaah man city ana tabia kama zangu kabisa asew
Zile kelele za "arab money can't buy UEFA" zinaenda kuisha.Nimaombi yangu msimu huu tunyamazishe vinywa vya wanafiki wetu humu kwa kishindo kikuu sana.
Ni mimi nilibadilisha ID tuNatamani Alieanzisha nyuzi hii angekuepo hapa ila naona last seen yake ni 2017
π π π πNi mimi nilibadilisha ID tu
Pale hakuna atakayesalimika.Tangu mwezi march mwishoni, pale etihad mtu hajapigwa chini ya goli 3.
King kev [emoji91]Mpishi yupo mapunziko akitoka huko Madrid wataisoma namba
Na haaland ajiandae kupiga hattrick
View attachment 2609218View attachment 2609219View attachment 2609220
hahahahahahaHii kitaalamu inaitwa
"ligi ongoza ila muda wa kombe unipishe"