Acheni uoga mvhezaji anatakiwa acheze ili mechi inayofuata awe fit. Hapo wanapumzika nini? Acheni wache. Sub dk za 70 hukoToa KDB, toa haaland, toa gundogan. Game imekufa hii
Kalvin lazima apatiwe dakikaWeka palmer,kalvin, bernado
Lolote laweza kutokea utashangaa mtu anakatwa kiatu anaenda wodini, mambo yanaenda kwa mikakati haya bwasheeAcheni uoga mvhezaji anatakiwa acheze ili mechi inayofuata awe fit. Hapo wanapumzika nini? Acheni wache. Sub dk za 70 huko
Aingizwe chap maana Hanna timu pale.Kalvin lazima apatiwe dakika