Sijui kama pep atamuelewa Leo gundo ,...
Sijaona hata anaenda kumpa mkono gundo ,baada ya game na ni man of the match ...
Wachezaji wamejisahau na kuanzia kupeana tactics wenyewe Kwa wenyewe uwanjani kudadekii,wanasahau kuwa kila kitu pep ndio anajua ,hapakuwa na haja ya haaland kumpa gundo apige penalty ,hata kama alikuwa anatafuta hat trick,haaland ndio penalty taker siku zote [emoji23]
Sasa walitaka kusababisha kupoteza game kijinga kabisa ...
Gundo katupa ushindi ndio ,simlaumu Kwa kukosa penalty,ila kipindi cha pili tumecheza ujinga,wachezaji wamerelax no desire ,,...
Body language ya pep Leo naona kakasirika sanaa ..
Next : Madrid