Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
Tulizana tuje tukuzagamue palepale barazan kwako
[emoji23][emoji23] Ten hag ndio tukawa tunaambiwa anakuja kumaliza utawala wa pep na klopp [emoji1787]United pale top 4 sijui kafikaje tu, wao na west ham wapo level moja kiuchezaji.
Wala hakuna masihara, Nyumbu mpira hawanaHawa manchester united wanaweza kwenda europa kimasihara tu.
Ni mwehu tu ndie atakayeamini hiviIs this man utd side the one that people say will end our treble dreams?
Walivyotufunga ile january wanaona yatajirudia tena.Is this man utd side the one that people say will end our treble dreams?
Kaona laana za michongo zinaenda kufeli, hii city haizuiliki hakuna cha laana wala nini.Yule aliyekuwa agent wa yaya toure aliyesema pep kalaaniwa na african shamans kubeba uefa sasa hivi kapiga u-turn, anasema laana imeondolewa [emoji1787]
Yule aliyekuwa agent wa yaya toure aliyesema pep kalaaniwa na african shamans kubeba uefa sasa hivi kapiga u-turn, anasema laana imeondolewa [emoji1787]