Vampios TEKASHI
Senior Member
- Apr 22, 2023
- 136
- 106
Arsenal bingwa wa epl uliyoanzisha wewe na bibi yako.Haushindi EPL usijidanganye
Arsenal ni bingwa EPL 2023/24
Na wewe kama unateseka mfuate huko ...Haushindi EPL usijidanganye
Arsenal ni bingwa EPL 2023/24
vs Everton hii game ni ngumu ipo katikati ya game za madrid na ni away,inakuwa ni multitasking. Hao wengine hamna wa kupata hata sare maybe brentford kama tukiwa tumeshatangaza ubingwa.Basi tuseme hivi ...
Game
Vs Everton W
Vs chelsea W
Vs Brighton, draw
Vs Brentford ,draw
Tunabeba ubingwa Kwa goal difference...
Kwa hatuna tuliyofikia hakuna namna yeyote inayoweza fanya tukapoteza game hata shetani na mizimu yake ishuke , labda Kwa mbaaaaaaali draw .....na penyewe Kwa mbinde ...
KIUFUPI ARSENAL KAYAKANYAGA MWENYEWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Everton tunamuogopea nin ? ile draw ya 1-1 Etihad ni Moja ya bahati ambayo hatakuja kukutana nayoo Tena ,....vs Everton hii game ni ngumu ipo katikati ya game za madrid na ni away,inakuwa ni multitasking. Hao wengine hamna wa kupata hata sare maybe brentford kama tukiwa tumeshatangaza ubingwa.
Madrid umfunge osasuna ndio ujidanganye kwa City?Laana imeondolewa una maana gani?
Umfunge Leeds na Fulham kimkakati ndiyo unajidanganya kwa Madrid?
Asipokuwepo ake means walker ana uhakika wa kuanza, Akanji anaenda left.Kikosi cha wachezaji 23 kilichofanya mazoezi ya mwisho leo Ake hayupo.
Maana yake hawezi kuanza hata ikitokea akawepo kwenye travelling squad.
Nop, pep bado anaweza kuanza na laporte na akanji kama fullbacks.Asipokuwepo ake means walker ana uhakika wa kuanza, Akanji anaenda left.
Walker is the perfect match for Vin.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Arsenal bingwa wa epl uliyoanzisha wewe na bibi yako.
Mgumu ni madrid tu hapoReal madrid (away)
Everton (away)
Real madrid (home)
Hizo game tukitoka vizuri ndio basi tena.
Chelsea
Brighton
Brentford
Man utd
Milan/Inter
Hawa hapa hamna wa kutusumbua.
Arsenal wanakwambia malengo yao yalikua kufuzu uefa [emoji23][emoji23]Basi tuseme hivi ...
Game
Vs Everton W
Vs chelsea W
Vs Brighton, draw
Vs Brentford ,draw
Tunabeba ubingwa Kwa goal difference...
Kwa hatuna tuliyofikia hakuna namna yeyote inayoweza fanya tukapoteza game hata shetani na mizimu yake ishuke , labda Kwa mbaaaaaaali draw .....na penyewe Kwa mbinde ...
KIUFUPI ARSENAL KAYAKANYAGA MWENYEWE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walker ameimpress recently, there no way ataachwa benchi.Nop, pep bado anaweza kuanza na laporte na akanji kama fullbacks.
Kutokuwepo ake bado sio guarantee ya walker kuanza though hata mimi nitapenda akianza walker right back.
Pep huwa haishiwi suprises bro, kuoverthink huwa ni kugusa tu.Walker ameimpress recently, there no way ataachwa benchi.
Of courseMgumu ni madrid tu hapo