Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
City inafanya mambo magumu yaonekane mepesi, ukitaka kujua everton wagumu, waulize arsenal.This was suppossed to be our toughest game in May.
Treble mwaka huu is given kikwazo pekee kilichobaki ni muda tu kufikaTunaposema treble tunamaanisha.
5 games to go.
Just 5 guys.
Game ya Madrid ikipita tumeshinda bas.. Hii treble tunaweka kabatini.Treble mwaka huu is given kikwazo pekee kilichobaki ni muda tu kufika
Kuweka hesabu vizuri zaidi.Three peat loading
Treble loading
Na hatutanii.
Watu wanaona tunatania ila sisi tunatembea mdogomdogo tu kitaeleweka.Treble mwaka huu is given kikwazo pekee kilichobaki ni muda tu kufika
Kwa madrid afe kipa afe beki istanbul tunaenda.Game ya Madrid ikipita tumeshinda bas.. Hii treble tunaweka kabatini.
SwadaktaKuweka hesabu vizuri zaidi.
Three peat is just 2 games away.
Treble is just 5 games away.
Ngoja tukomae na real Madrid, hao mbwa tukishawapiga tu baaaasYaan citizens wafanye yao yote mwaka huu tunyanyue kwapa LA UEFA.
Mbna uwezo tunao, shida nn aaaah, naumia mnoo yaan