Nyumbu ni yanga au[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi takwimu zinaogopesha sana.
Leo Madrid hana tofauti yoyote na nyumbu aiseee. View attachment 2625798View attachment 2625800
Wanafufukiaga dk ya 90 hao RMEm kua na Akili japo kidogo, hawa City kila kocha utamlaumu kila mchezaji utamlaumu tu, wewe angalia mpira u-enjoy kaka.
Kwamba na leo wanafufuka injury time? emu kueni serious.Wanafufukiaga dk ya 90 hao RM
mtabiri eeh, toa possibilities nyingine tena tuoneIla jamani kwa Real Madrid hadi kipenga cha mwisho hawatabiriki. Endapo Madrid atafunga goli kabla ya dakika ya 55 ikawa 2-1 patachimbika.