Kuna watu mnakuaga kama mnawashwa, sasa kama ni under 20 wewe unataka nini brother? nenda kwenye majukwaa yenu ya over 40.Hakuna Shabiki Wa Man City mwenye Ndevu Mashabiki wa Man City wengi Ni Under 20
Palmer ana potential, atabadilishwa taratibuPalmer anajua mpira ila tatizo lake ni kutaka kucheza individual....
Mpira ni pass na kutengeneza space ....