Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Carson japo hachezi ila ana role kubwa sana dressing room.Moja kati ya goalkeeper wanaokula mshahara wa Bure ni Scot ,sawa alikuwa mzuri enzi zake ,but this time tuko na Ortega + ederson ....
Hapo mwanzo tulikuwa na Stefan +ederson ,but Scot hakuweza kucheza game yeyote msimu mzima ,...
Hata ile game ya UEFA walker anaingia kudaka ,baada ya ederson kuumia watu walishangaa kwani man city Haina goalkeeper no 2 [emoji23],Scot alikuwepo ...
Team zote zinagoalkeeper wawili ila sisi team yetu iko na goalkeeper watatu,txiki hapa sijajua ajenda yake ,na Scot Kapata medal kama epl winner 2023 [emoji23] ...
Na kwa mwaka Scot anapata zaidi ya £2.1M kama mshahara ,na kapewa mkataba tena [emoji23].....
Daaa kila nikikumbuka interview zake mara ooh tuchel atamfunga pep na kuchukua CL ,..Man city are willing to sell Cancelo at £35m.
Bei yake ilikuwa £60m ila wako tayari kuipunguza hadi £35m ili tu apate timu ya kumchukua.Daaa kila nikikumbuka interview zake mara ooh tuchel atamfunga pep na kuchukua CL ,..
Mara anashangilia haaland kukosa penalty pale Allianz arena ,...
Sioni ni namna gani huyu anaweza kurudi Tena city,sijui dressing room atakuwa anaongea na nani [emoji23] ....
Ni mchezaji mzuri lakin ndio hivo ,hana nidhamu kabisa ....
Kama tukichukua CL basi medal yake najua ipo ,na vile vile PL medal ipo ,japo hakuna picha yeyote kalinyanyua kombe ...
Cancelo by by .....
Daa pep asipojitafakali naona tukipoteza Kwa united walahi ....FA man U anashinda