Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Pep anaznguaPalmer ,Gomez Hawa sio wachezaji level ya city ....pep awatafutie team hata Kwa mkopo huko ...
Ndio sababu fans wa city huwa tunaonekana hatujui mpira.FA man U anashinda
Pep ameogopa kupata majeruhi. Maana hao Brentford wamekamia hii game kama wanacheza fainali. Halafu key players pia ni muhimu kupumzika before final maana wametumika sana consecutively.Dah watu mnalalamika kisa tumefungwa na brentford [emoji23][emoji23]
Kwaiyo mlitaka tucheze afe kipa afe beki kwenye mechi ambayo haina impact yeyote?! Kocha yeyote yule angekuwa kwenye situation aliyopo pep asingefanya hivyo mnavyotaka.
Kombe tumebeba huku zimebaki mechi 2, baada ya hapo zinafata final 2 mfululizo halafu bado mnataka timu ipambane kama vile tunapambania kombe ebu acheni utani.
Niambieni ni kocha gani dunia hii angekuwa ana final 2 zinamsubiri halafu bado anakomaa na mechi ambazo hazina impact, nani?
Hao kina KDB wangeumia bado tungekuja kuanza kulialia humu kwamba oh pep anaweka full mkoko kwa mechi ya hivi anarisk wachezaji.
AcademyHuyu Charles ametoka wapi Tena ??
Kumbuka msimu wa 2021 tulipoteza final kijinga hivi hivi ,Kwa kuanza kupoteza game ambazo wanaona sio mhimu ,kumbe ndio tulikuwa tunaua winning mentality kwenye team ....mwisho wa siku yakawa mengine ....Dah watu mnalalamika kisa tumefungwa na brentford [emoji23][emoji23]
Kwaiyo mlitaka tucheze afe kipa afe beki kwenye mechi ambayo haina impact yeyote?! Kocha yeyote yule angekuwa kwenye situation aliyopo pep asingefanya hivyo mnavyotaka.
Kombe tumebeba huku zimebaki mechi 2, baada ya hapo zinafata final 2 mfululizo halafu bado mnataka timu ipambane kama vile tunapambania kombe ebu acheni utani.
Niambieni ni kocha gani dunia hii angekuwa ana final 2 zinamsubiri halafu bado anakomaa na mechi ambazo hazina impact, nani?
Hao kina KDB wangeumia bado tungekuja kuanza kulialia humu kwamba oh pep anaweka full mkoko kwa mechi ya hivi anarisk wachezaji.
Nilishasema huyu Pep anatakaa kuharibuu final ya UEFA. Tusiponyanyua kwapaaaa hatumuelewiiiiiiHii game tumepoteza ila kama pep hajashituka nakuhisi kuwa weka bench kina kdb ,haaland ,gundo ndio sababu ,ajitafakali ....
Huu ujinga wa kuua winning mentality kwenye team ndio ulitufanya tukapoteza final mwaka juzi na Chelsea ya kawaida ...
Simuelewi pep hizi game mbili ...
Brighton
Brentford
Kama mnafikili kuweka watu bench ndio sababu ,keep watching...
Basi sawaaaahDah watu mnalalamika kisa tumefungwa na brentford [emoji23][emoji23]
Kwaiyo mlitaka tucheze afe kipa afe beki kwenye mechi ambayo haina impact yeyote?! Kocha yeyote yule angekuwa kwenye situation aliyopo pep asingefanya hivyo mnavyotaka.
Kombe tumebeba huku zimebaki mechi 2, baada ya hapo zinafata final 2 mfululizo halafu bado mnataka timu ipambane kama vile tunapambania kombe ebu acheni utani.
Niambieni ni kocha gani dunia hii angekuwa ana final 2 zinamsubiri halafu bado anakomaa na mechi ambazo hazina impact, nani?
Hao kina KDB wangeumia bado tungekuja kuanza kulialia humu kwamba oh pep anaweka full mkoko kwa mechi ya hivi anarisk wachezaji.
Yani kwenye kikosi kilichotumika sehemu kubwa mwaka huu, walioanza leo ni ederson na walker pekee, halafu unakuja kulalamika timu haina winning mentality seriously?Kumbuka msimu wa 2021 tulipoteza final kijinga hivi hivi ,Kwa kuanza kupoteza game ambazo wanaona sio mhimu ,kumbe ndio tulikuwa tunaua winning mentality kwenye team ....mwisho wa siku yakawa mengine ....
Issue sio kupumzisha wachezaji ,issue ni kuwa team inapoteza mentality ya kushinda ,hizi game mbili za Brighton na Brentford tuzizichukulie poa kabisa ...this is warning ...
Kama unaona ni kawaida basi jitafakali ,mim nishapitia hiki kipindi mwaka juzi ,najua situation kama hiziii ...
Tutapoteza game ya united mtasema ni fa ,mwisho wa siku we will bottling the fucking CL ndio mtakuja kuamka ,kuwa this is not normal..