[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzio naomba mpira uishee harakaaa mnoo.Hamna kitu hapo kocha wao kashaanza kufanya sub za mabeki haina madhara kwetu
Kajiroga ujuaji mwingi watu dakika zao zakusawazishaPep nae sub zake mbna anatuchanganyaa khaaah, hebu atuachee kwani khaah.
Mungu wangu anamtoa stones sametimes pep atakuja kutushomeshaPep nae sub zake mbna anatuchanganyaa khaaah, hebu atuachee kwani khaah.
Hamna kitu Hadi alishweHivi huyu halland mbona kwenye mechi kubwa kama hizi hatupiagi magoli sijui shida ni ni nini tuka tupo semi final naona ukame wa magoli tu
Ujuaji mwingi sanaMungu wangu anamtoa stones sametimes pep atakuja kutushomesha
Yaan huyu Pep kala hela za Inter atukoseshee ubingwaa khaaahMungu wangu anamtoa stones sametimes pep atakuja kutushomesha
Mie ananiboaa mnooo, bora mpira uishee tyuuh khaaah.Kajiroga ujuaji mwingi watu dakika zao zakusawazisha
Jamaa kapoteana siku hizi acheki na nyavu au sifa zimemleweshaHamna kitu Hadi alishwe
Kwenye mechi kama hizi za final ajitahidi awe seriously basiUjuaji mwingi sana
Kwakweli bora gemu iishe tu mapemaYaan huyu Pep kala hela za Inter atukoseshee ubingwaa khaaah
5Jamani zimeingezwa dk ngapi??