Mkuu usibishane na watu roho zinawauma mwshoe wajiue.Unaitaji bahati kushinda makombe
Yan hapa niko napiga bia naona zinashuka sio ktt.Aaaaaaaah.
Hili shangwe nililo nalo mpaka vidole vimekua vizito, embu ngoja nipary kwanza
The champions of the entire european continent, from england to ukraine, from Denmark to israel.Sooo, city ndio mabingwa wa ulaya nzima right?