The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game nilijua itakuwa ngumu Sana ,nilivoona inter wanacheza na back 3 ,ndani viungo 5 ,nikajua Hawa wajinga wamecheki mbinu za Brentford [emoji23]...

Team inayocheza hivi huwa pep zinamsumbua Sana ,viungo wanapoteana ,mbaya zaidi opponent wanakuwa vzuri na nguvu ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…