Poleni wakuu ... ..... .... pamoja na kuwa na wachezaji wazuri wengi mmeshindwa kuwatumia badala yake wanashindana na polisi kupata driving ban. Mjitahidi mwakani mnaweza kuishia kucheza europa kwa mara nyingine ..... .... .... ....
Mkuu naona hapa hata ulikuwa huangalii unaandika nini .... ... pole sana ndio EPL hii .... .... ..... timu yako ya zamani ilikuwa inaitwaje au ndio ile ya vichochoroni?