HT
Burnley 0-2 city
Hata kwenye flanks hamna cheche kabisa, walker kule kulia anakua kama holder tu hata cross hapigi ni back pass tuIla creativity hakuna bana, kiungo kimepoa mnoo.
Bila kdb katikati panakuwa hakuna ubunifu tena ,tunamtegemea kovacic...Ila creativity hakuna bana, kiungo kimepoa mnoo.