The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Rodrigo ni driving force hapa kati, hii engine siku ikiumia aisee.
 
Huyu glazer ndo kwanza dakika ya 20 watu washaanza kumbatiza kwa moto.
 
Dominant display ila ndo hivyo tushawekwa.

Hawa red star walaini, chance tunatengeneza za kutosha ni umaliziaji tu na juhudi za kipa ndio zinawaokoa.

Second half tunakuja kumaliza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…