The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


The 6ft8in gk could save it.
Mancini alimpiga sub Pantilimon kwa sababu katika mahojiano yake na Daily News(UK) alisema hii itakuwa mechi yake ya mwisho msimu ujao atatafuta timu nyingine ili awe anapata namba ya kudumu, Mancini kusikia hivyo akamweka benchi. Kwa Romania nchi zima including G Harghi ilikuwa inasubiri kumuona akicheza Fainali ya FA lakini hilo halikutokea.
 
he deserve so far... ----> Callum McManaman, take a bow. Best player on the pitch.
 

hii ni kutokana na yeye mwenyewe kukosa uhakika wa kuendelea city let him (mancini) go tumechoka bana..
 
leo ni leo Man city wameondoka mikono mitupu,
tusubiri miaka 40 ipite kwani historia inaonesha Man city walichukua kombe mwaka gani vile mara ya mwisho? kabla ya mwaka jana
Man city wamejiroga na mwarabu anapangua timu nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…