The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii faulo alochezewa walker refa hajatoa kadi, faulo hiohio walker emeicheza dakika chache zilizopita kapewa kadi.
 
Mpaka sasa wolves hawana shot hatamoja golini, sisi tuna 11, ila tuko nyuma kwa goli 1
 
Uzembe WA Ake na Foden ,unafanya tackling hadi chin huna uhakika WA kuwin mpira ? ...mbaya Zaidi Ni last man aiseee
 
Haaland Leo anafanya jogging tu uwanjan ,kama tungekuwa na striker mwingine angepumzika kabisa . ..
 
Bobb πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nlikua nam underrate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…