Niko Zenji kwasasa mkuu,, kama ni Sinza ngoja nisubir mwez wa 12 ntakuja kuikamata. Zinaendaje bei yake?Kama uko dsm njoo sinza madukani zipo full
Unazipata Kwa 30k - 35k mkuuNiko Zenji kwasasa mkuu,, kama ni Sinza ngoja nisubir mwez wa 12 ntakuja kuikamata. Zinaendaje bei yake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2778603
Tunatoa taarifa Emirates Stadium sio nyumba y wageni tumeona wachezaji wa Manchester wanalala sna..
Kumbe unatukubali eeh?Hakuna team ilitusumbua na itaendelea kutusumbua kama Liverpool, Arsenal Ni team ya watoto kabisa [emoji23]View attachment 2779228
Siwezi sahau pressure mlizokuwa mnatupa aisee [emoji23],Kumbe unatukubali eeh?
Sasa mbona huwa husemi[emoji23]
Wanafosi tuwe rivalsHakuna team ilitusumbua na itaendelea kutusumbua kama Liverpool, Arsenal Ni team ya watoto kabisa [emoji23]View attachment 2779228
Sportsmanship mkuuKufunga mtufunge bado mnataka tupeane mikono [emoji23] vita Ni vita mulaaaView attachment 2779582
Mkuu...vip habar za muda?[emoji599] Manchester City are keen to sign Real Madrid midfielder Toni Kroos when his contract expires next summer, with City willing to pay him £13m-a-season.
(Source: Mundo Deportivo)
Niko poa weekend Bila EPL Ni sawa na siku za Kazi tu [emoji23]Mkuu...vip habar za muda?
Ni kwel kabisa...kitambo sana majukum yalibana bana...nikapotea kwa muda jukwaan, naona vijana wa Sir. PEP mefanya makubwa sana...kubeba treble msimu uliopita ikibaki na FIFA Club World Cup..Niko poa weekend Bila EPL Ni sawa na siku za Kazi tu [emoji23]
Saizii tunataka kuweka record hio kuchukua EPL x4 lakin tumeenda international break ka timu kadogo kama Arsenal kamechukua point 3 mbele yetu ,sasa wamekuwa wakitujazia nzi humu Sana ....Ni kwel kabisa...kitambo sana majukum yalibana bana...nikapotea kwa muda jukwaan, naona vijana wa Sir. PEP mefanya makubwa sana...kubeba treble msimu uliopita ikibaki na FIFA Club World Cup..
Walinifurahisha kiukweli kilichobaki ni kuweka rekodi ya kupekee ambayo haijawahi kufikiwa na timu yoyote ile pale Kwa malkia ya kuchukua EPL title 4x in row.
Karibu kwenye ulimwengu Wa mabingwa ,usije kufa na stress huko chuga man[emoji23]Msimu huu man sitee lazima awe bingwa.
Gadiola anajua, anajua tena[emoji3][emoji3][emoji3]