Kipa wao ananikoshaArsenal huwa ananguvu ya soda tu ,ikishafunguliwa pfuuu gesi ikaisha ,hamna maajabu [emoji23]
Duu girona walirudisha kumbe🌟🇧🇷 Savinho: “I’m so happy at Girona, this is perfect place. The City Group is a very good project”.
“I feel that City Group’s project is first class”.
🔵👀 “If I do well, Manchester City will want me…”, he told Marca.
Aleix garcia ni mtamu sana ile midfielder naikubal🌟🇧🇷 Savinho: “I’m so happy at Girona, this is perfect place. The City Group is a very good project”.
“I feel that City Group’s project is first class”.
🔵👀 “If I do well, Manchester City will want me…”, he told Marca.
Umeanza defensive mechanism mapeeema [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Man U wempaniki ,wamekamia hii game ....
Pep kashasema Sisi malengo yetu Ni kushinda mataji makubwa sio kuifunga united kama watu wanavotaka ....
Mwaka Jana united wametufunga pale OT Kwa mazingira ambayo sio ya kimpira yes okay but tukaenda kushinda CL ,Tena treble [emoji23] Hakuna MTU anayekumbuka Tena kama tulipoteza pale OT ....
So let's go pep Ni mind game ,Hana haja ya kumiza Akili Kwa match ndogo kama hizi ...