Mnamo mwaka 2013 KDB alikuwa Weder Bremen kwa mkopo akitokea Chelsea.
Ilikuwa ni weekend moja ampapo Weder Bremen walikuwa na kipute didhi ya Bayer Liverkusen,baada ya mchezo kumalizika nyota huyo alipost picha yake kwenye ukurasa wa tweeter huku akiwashukuru mashabiki wa Weder Bremen kwa sapoti yao siku hiyo.
Wakati huo KDB hakuwa na wafuasi wengi tweeter hivyo hata likes na Comments hazikuwa nyingi.
Post ile ilipata Likes na Comment kadhaa na miongoni mwa watu walio-Like ile post ni mwana dada Michele Lacroix.
Kwa bahati nzuri KDB aliona ile Like na kuamua ku-view profile ya huyo mwana dada Michele Lacroix.
KDB alivutiwa sana na Michele Lacroix,mpaka akatamani kumtumia ujumbe DM ili apate mawasiliano yake...lakini kwakuwa ni mtu maarufu alishindwa kufanya vile huku akihofia ujumbe wake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuchafuliwa.
KDB aliamuwa kuomba Ushauri kwa rafiki yake jinsi ya kumpata mwana dada Michele Lacroix,kwani tayari alikuwa kwenye hisia kali na mrembo huyo.
Rafiki yake alishika Simu ya KDB na kum-DM Michele Lacroix....kwa bahati nzuri mwana dada huyu alijibu na kutuma mawasiliano yake na ndo pale mazungumzo yalianza rasmi baina ya KDB na Mrembo huyo.
Mnamo mwaka 2017 KDB na Michele walifunga ndoa na mpaka sasa wawili hao wamezaa watoto watatu mmoja wa kike na wawili wa kiume.
Nb: Siku zote KDB ni mtu wa kutoa assist kwa wengine lakini alipo muhitaji Michele Lacroix alihitaji assist kutoka kwa rafiki yake kipenzi [emoji3]
View attachment 2783707