The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu bora ukalalee, mwenzio hapa 1 haikai na 2 haisimamii, hata sielewiii.
Nilale mechi imeisha kwani 😂😂😂
Nawasubiri nione km na nyie baba Jane bye bye au vipi??
 
Nilale mechi imeisha kwani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nawasubiri nione km na nyie baba Jane bye bye au vipi??
Naombaa ututolee balaa lako hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu Rudger angekuwa makini ungekuta City ameshakalia kuti kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…