The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tactic ile ile ya man city msimu jana ndo ile ile aliyokuja nayo jana. Hadi sub alivyokuwa anafanya pep ni kama zile zile za mwaka jana ukiacha ya DOKU.
Ni kwamba maswali aliyoyatoa kwenye mtihan wa mwaka jana pep kwa ancelot ndo yale yale ameyarudisha tena. Yalitushinda mwaka jana ila mwaka huu tumeyaweza.

Pure CATENASIO FOOTBALL
Pure ITALIAN MAPIA(MAFIA) FOOTBALL
Always DEFENSIVE less OFFENSIVE
 
Madrid hawana team ,wanacheza mpira WA kuvizia ...

Tactics zao Ni

" Halaa Madrid "
" This is real Madrid"
Sioni wakifika mbali Hawa
 
Sisi tumetolewa lakin mpira tumecheza ....

Kiufupi Bahati ndio imeamua ...

Na Bahati huwa haiji Kila game ...
 
Guys kushinda PL x4 mfululizo Ni nembo moja kubwa Sana ambayo tutakuwa tumeacha EPL...saizi tupo na kikosi full ,hasira zote ziende kuishika Kwa Hao Brighton. ,Fulham , forest kiufupi epl IPO mikononi mwetu...
 
Guys kushinda PL x4 mfululizo Ni nembo moja kubwa Sana ambayo tutakuwa tumeacha EPL...saizi tupo na kikosi full ,hasira zote ziende kuishika Kwa Hao Brighton. ,Fulham , forest kiufupi epl IPO mikononi mwetu...
Makombe 2 kwa msimu huu sio mbaya.
 
[emoji2788]Pep Guardiola:

“Congratulations to Real Madrid - they defended so deep with incredible solidarity.

“We did everything. I don’t have any regrets about what we have done.

“Always as managers we try to create more and concede less in every single game because that helps to win. We did everything, defensively and offensively.

“Two years ago we won 4-3 we played outstanding and last season as well.

“They defended deeper than previous seasons and we create the chances to do it but football is about scoring goals. They did it better than us.

“I have the duty to say thank you to my players for the way they played but this is about results. They will be in the semi-finals, we will not. The performance and commitment was exceptional.”

“They made a good goal. There were two, three, four transitions but it is normal at that level with the quality they have.

“We played exceptionally in all departments. Unfortunately, we could not win. It is what it is.”

“It is what it is, sometimes you win penalties, sometimes not.

“The way we played, we should have done it before. We did not convert the chances we had and we defended the transition really well.

“Everyone was at a high level. To beat Real Madrid, we had to perform our best. We were our best but it was not enough.”
 
Wamezabuliwa kwenye matuta nimefurahi sana.!! Jana walitusema walivyorudisha lile goli kwa madrid tukaonekana wa hovyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hili kombe mtalisikia kwenye tv tu Wana arsenal [emoji1787]
 
Sisi tunaenda kuchukua EPL mara NNE mfululizo ....na kupewa kombe la dhahabu maana haijawahi kutokea ....
 
[emoji2788] Rodri:

“Nothing much to say. Congratulations to Real Madrid and congratulations to my teammates for the effort. We gave everything.

“Nothing to regret. This is football sometimes. This is the trick of this competition. This shows how difficult it is to win it, we did it last season, I’m very frustrated to be honest for what happened.

“Sometimes it is difficult to explain. Tomorrow, we will need to digest the loss.

“Tomorrow we have to wake up and stand up because we have two more competitions to fight for.

“We need to stand up. We need a positive mentality and find an ambition which right now is difficult to find, but tomorrow we will find it.”
 
Madrid hawana team ,wanacheza mpira WA kuvizia ...

Tactics zao Ni

" Halaa Madrid "
" This is real Madrid"
Sioni wakifika mbali Hawa
Remember its Madrid

14 UCL mwakani mtakutana nao tena mkiwa mna jamal musiala paqueta wao wana mbappe hakim davis

it's goin to be fun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…