Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mkuu tayari biashara isha isha nilisema before wakijifanya wanaufahamu mwingi watakula cha pili.Afadhali sasa. Ila nyongeza dk 10 nyingi kweli kweli
Kudadeki kidogo son atumalize ....
Ortega Ni bonge moja la goalkeeper underrated [emoji91]
Hili nililisema mapema.Hapa spurs akiendelea kujifanya anaujua atakula cha 2,leo Pep.yupo kimkakati zaidi.
Ubingwa wa nne back to backHapa kwisha tusubiri ya West ham. Inshaalah ubingwa wa tatu back to back
Hongereni aisee. Nafasi mmetumia vizuri
WesthamHii game ndio ilikuwa na pressure nyingi ....
Next wolves ...Etihad
Kombe linabebwa kama masiala vile
Ilikuwa ni Martinez v/s kolo muaniSave ya Ortega imenikumbusha save ya Martinez dhidi ya Mbappe dakika ya 119 katika Fainali ya World Cup
Sio wolves mzee baba ni wagonga nyundoHii game ndio ilikuwa na pressure nyingi ....
Next wolves ...Etihad
Kombe linabebwa kama masiala vile
Mimi niliona kama mlibeba pale tu tulipofungwa na villaHii game ndio ilikuwa na pressure nyingi ....
Next wolves ...Etihad
Kombe linabebwa kama masiala vile
Huyu Mzee afanye ku-retire kwa heshima tu sasa, hizi sarakasi zinamvunjia heshima.Akanji alitaka kumuua pep🤔