Tumebaki na game 3.
Juventus away
PSG away
Club brugge home
Tuna point 8, mpaka sasa inter ndio anaongoza na point 13 hapo hujahesabu watakaocheza kesho.
Tunatakiwa tushinde bila mjadala hizo game 3 ambapo tutamaliza na point 17 maybe enough kumaliza kwenye nafasi 8 za mwanzo.
Na kikosi chenyewe ndio hiki.