The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu pellegrini huyu we muache tu...timu kinabanduliwa daily yeye yupo yupo tu
 
Hahahahaha Man Shit. Wap mkuu ndetichia? mpaka muda huu hujaja kuweka picha! Au hutak tuone matukio ya jana katika picha!? Jimwage mwage basi kwenye uzi wako mkuu Ndetichia.
Hahahahahahahahaha
 
"I renamed my hard disk Joe hart and now it refuses to save anything."
LOL!
 
Hahahahaha Man Shit. Wap mkuu ndetichia? mpaka muda huu hujaja kuweka picha! Au hutak tuone matukio ya jana katika picha!? Jimwage mwage basi kwenye uzi wako mkuu Ndetichia.
Hahahahahahahahaha

acha tu kichapo kisikie kwa nduguyo...
 
Full Time: City 5 - 2 CSKA Moscow

kutoka saba hadi tano what a team yaani msimu huu raha sana..
 
Huku Negredo akitupia hat trick city ya sasa ni hatari tupu..
 
naona city kama wanaanza kuchanganyikiwa dizaini...
sun 1 - 0 city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…