Hata timu iwe mbovu vipi haiwezi kufungwa kila mechi.
Ndicho kilichotokea kwetu, tumekutana na mbovu mwenzetu tumejipigia, haimaanishi tumeimarika.
West ham alikua ana uwezo wa kutufunga goli 2 mpaka 3, same kwa Leicester wiki iliyopita.
Timu ikipoteza mpira unaona the way tulivyo vulnerable pale katikati, most of the time tunakuwa caught off position.
Bado hatuna strong presence pale katikati.
Kiujumla, ushindi wetu wa Leicester na west ham umechangiwa zaidi na ubovu wa wapinzani wetu kuliko ubora wetu.
Next match tuna Brentford, quite stronger opponents, sitoshangaa tukipoteza.
There is still a hell of work to d