The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game ya leo sikuwa na matumaini makubwa ya kushinda.

Kinachoniuma mimi ni hizi comeback za kutwa kucha dah.

Tatizo letu ni lile lile tu, hatuwezi kuhold pressure.
Hatuwezi kumaintain solidity kama ya first half kwa dakika zote 90.
 
Kwenye UEFA haijalishi unafunga magoli mengi kiasi gani, kama huwezi kuyalinda ni upuuzi.

By the way huu msimu sioni kama kuna lolote tutafanya huko, tukomae na top 4 tu huku tunafanya rebuilding.
 
Kumtoa dias ni moja ya factors zimepelekea tukatepeta.


Dias out
Kova out
Nunes out

Watu ambao wamekua na solid performance unatoa unaweka McAtee?, Gundo?(sorry bro but yes, you)
 
Unless niambiwe dias hakuwa comfortable kuendelea na game, hapa pep sijamuelewa kabisaa.
 
Sasahivi tupo nafasi ya 25.

Game ijayo tofauti na point tatu ni kwaheri mwalimu.
 
Jana Dias alitolewa sababu alikua hajisikii vizuri.

Hii sasa ina make sense, nlifikiri alitolewa kwa sababu za kimbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…