Ukiangalia kuanzia wa 9 hadi 16.Aje wa play off sasa.
Heshima nyingi kwa Stones.The man himself
View attachment 3218176
Hapa nafurahia tumevuka ila bado tuko wachovu hata benfica atatutoa kamasi.Ukiangalia kuanzia wa 9 hadi 16.
Mchovu ni bvb.
Hao atalanta sio wa kuwaomba kabisa.
Bila ma injuries huyu ni msaada sana.Heshima nyingi kwa Stones.