makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Wa kushona nguo?Savinho fundi
Mpira wa kukariri ndio huu.Timu ndogo kama hii mnashindwa kupata matokeo kwa wepesi, jumanne mtapokea kichapo kizito toka kwa Real Madrid kuzidi kile ambacho Arsenal aliwazawadia wiki iliyopita.