Mwezi ujao tuna jambo letu pale USA, mda huo watoto ndio wanaenda pre season.Tukutane msimu ujao sasa.
Kumbe ligi ndio imeshakwisha??? Tumeishacheza na nyie??? Tuwalambe lambe...ππππ
Ubebe UEFA na Europa ππππMatakataka katika ubora wenu,,hamuyiogopi Chelsea??? Musimu ujao tunabeba uefa na europa, mupooo..??
Badoooo, tunacheza mwezi wa 7 mechi iliahirishwa πKumbe ligi ndio imeshakwisha??? Tumeishacheza na nyie??? Tuwalambe lambe...ππππ