naona imeanza kwa kasi sana..
Namimi nipo uwanjani sasa,kuingia kwa Nasri na Negredo kumeongeza chachu.
duu jedinak anataka kuhari utamu..
dzekoooooooooooooooooooo
Mkuu Joe amefanyaje kwenye jicho?
Man C wanatakata lakini jamaa wamepaki container.
aliumia wakati anaokoa waligongana na jerome..
Ok,bahati nzuri anaiona michomo yote.