CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,740
- 1,143
Hii ni roho mbaya sasaInabidi mshushwe daraja.
Ninachoamini kama kwenye hizo tuhuma kama kuna mambo ya usajili basi ni timu nyingi zitafikiwa.Marc guehe soko la sasa gumu
Nyie mkamchukua Kwa £20 millions
Ngonj mupewe mnachostahili
Anae tangaza ni alienunua.Ninachoamini kama kwenye hizo tuhuma kama kuna mambo ya usajili basi ni timu nyingi zitafikiwa.
Mfank huyo issue ya guehe, kama kuna ufanganyifu basi timu zote mbili muuzaji na mnunuzi watakuwa na makosa
Alieuza lazima aandike, ameuza nini kwa bei gani, kama kaandika ameuza mchezaji halafu kaweka bei ya uongo hilo ni tatizo maana ni sawa na kufoji, and kuandika bei pungufu kwa muuzaji ni kujipunguzia uwezo wa matumizi ya fedha, kwahiyo sio rahisiAnae tangaza ni alienunua.
Sema udanganyifu upo lkn city anaonekana ni muongo na kule ni ulaya lzm ataadhibiwa
Kweli hapo kwenye sajili wanaweza kuathirika wengi.Alieuza lazima aandike, ameuza nini kwa bei gani, kama kaandika ameuza mchezaji halafu kaweka bei ya uongo hilo ni tatizo maana ni sawa na kufoji, and kuandika bei pungufu kwa muuzaji ni kujipunguzia uwezo wa matumizi ya fedha, kwahiyo sio rahisi