The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona uko peke yako unapiga kelele! Subiri Tarehe 3 tuwanyonge!

manure 4 arsen 6 liver 2 eveton 3 new castle 4 next is you lad city nyumbani msimu huu ni hatari sana usibonyeze..
 
manure 4 arsen 6 liver 2 eveton 3 new castle 4 next is you lad city nyumbani msimu huu ni hatari sana usibonyeze..

Kaa usbiri uje uone! Mkakati Wa Mourinho ni kumtandika city nyumbani!
 
Narudia tena: City mnabebwa sana...moto wenu unakuja!!
 
Watu wagumu kweli kuukubali ukweli
Chelsea ni nani hata wasifungwe Etihad kama wale wengine?
 
Watu wagumu kweli kuukubali ukweli
Chelsea ni nani hata wasifungwe Etihad kama wale wengine?

Wewe Kaa kimya Huko Huko jangwani!

Pellegrine anafahamu kz inayokuja kwake kua ni ngumu!
 
Chelsea ni chelsea na wengine ni wengine:

Sisi tumemfunga Bayern Munich nyumbani kwake na kuchukua ubingwa wa Ulaya zikiwa zimesalia dakika chache sana tukasawazisha. Sisi ni timu tofauti sana. Unajua lakini huwezi kukiri hadharani..
Watu wagumu kweli kuukubali ukweli
Chelsea ni nani hata wasifungwe Etihad kama wale wengine?
 
Chelsea ni chelsea na wengine ni wengine:

Sisi tumemfunga Bayern Munich nyumbani kwake na kuchukua ubingwa wa Ulaya zikiwa zimesalia dakika chache sana tukasawazisha. Sisi ni timu tofauti sana. Unajua lakini huwezi kukiri hadharani..
subiri ule zako ukae kimya tu..
 
Bado Wewe Tarehe 3 nakuja hapo Etihad nakunyonga! Maana umezoea kuwaning'iniza! Sasa Tarehe 3 Mimi mgeni hapo na Kamba yng mguuni uone cha moto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…