Mashabiki wa Man United wamejirekodi video wakiwa wanaiombea kheri timu yao, na wakiomba mabaya kwa timu pinzani. Pia mashabiki hao wameomba Messi na Ronaldo wasajiliwe Manchester United. TIZAMA VIDEOCLIP: DUA YA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED - YouTube
Source: Shafii Dauda wa youtube