Hongera Mkuu!
Man City ina uhakika wa kuwa katika 3 bora kama Liverpool FC. Ubingwa utakwenda kuleee. Naumia kuupoteza ubingwa wetu halafu hata katika tatu bora hatumo

hii gemu mbona utata unaanza mapema..
dk 20 ars 0 - 1 city