The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Roho ndio inazidi kuuma City ndio watachukua Yaya 2-0 kwa palace
 
Mshindwe menyewe tu chacha. .... .... .... .. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee all in your hands.
 
Jirani msituangushe,kuna watu walianza kupiga kelele football imehamia Merseyside
 
Wakuu Habari!? Hongereni kwa Ushindi Wa Leo!

Matumani yaliyikua yamepotea sasa hayo tena yameibuka upya tena kwa kasi kubwa!

Kila laheri ktk kuchukua ubingwa! Mimi Chelsea sina nafasi ktk EPL. Lkn Km mtavuruga nyote Yani City na Liver basi huo ubingwa mtaniachia mimi!

All the best wakuu!

Wacha Mimi nikomae na CL!

Mkuu ndetichia Pamoja sn Mwana!

One love and I love you all!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…