The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

SS5 ngoja nijiliwaze huku walau kuna mpira wa maana

La liga ni mapumziko sasa narudi EPL kuja kumalizia ngwe ya lala salama ambapo leo mci atachagua kujitwalia ubingwa ama kuuweka rehani mpaka j1
 
La liga ni mapumziko sasa narudi EPL kuja kumalizia ngwe ya lala salama ambapo leo mci atachagua kujitwalia ubingwa ama kuuweka rehani mpaka j1

Mi ngoja nifanye majumuisho na full beki fasta narudi shortly..huwa hatuchukui muda mrefu
 
Mci tenaaa gooo laa mpira unateleza dzeko anakosa bao dk ya 48
 
Kona inapigwa hapaa anaubabatiza kompany gooo laa hapana
 
Mpira unaendelea city tena wanao wanakwendaa goo laa sasa wanapigwa counter attack, wanakwenda aston, hapana wanakwama,wanao tena city wanakwendaaa goo laa goal kick
 
53. City continue to hammer at the Villa door but the visitors absorbing everything being thrown at them at the moment.
 
Wanakwenda city, city aa silva anawekwa chini sasa ni faulo kuelekea aston
 
Mpira unaendelea city tena wanao wanakwendaa goo laa sasa wanapigwa counter attack, wanakwenda aston, hapana wanakwama,wanao tena city wanakwendaaa goo laa goal kick
yaaani hawa jamaa wanataka nini lakini...
 
Faulo inapigwa palee goo la hapana city wanakosa tena
 
unajua hizi siku mbili tatu mji umetulia SAAANAAA lakini na nyie man city mnataka mji usikalike!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…