The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

ubingwa utakuwa unabadilishwa mitaa ya manchester tu....next season unaletwa old trafford.......2011 man utd....2012 man city......2013 man utd.....2014 man city........2015 watajaza wenyewe....

Hii ni sawa na kuchungulia mwenzako anavyogegeda kwa kupiga chabo halafu unasema na wewe unafaidi kama yeye. Ismail Aden Rage akijifanya anasherehekea Yanga kuchukua ubingwa au Yusuph Manji akienda kufanya Party eti Azam wamechukua ubingwa kwa vile wao ni TIMU ZA MJI MMOJA WA DARISALAMA watu wataona kuna ukichaa kama sisi tunakuona wewe ni kituko. Mashabiki wa Man United kushangilia ubingwa wa Man City ni kujisuuza tu maana ''sasa mmehamia mtaa wa SABA, ile nyumba ile nyumba mliyokaa zamani wanaume Man City wameichukua''

Kwa hiyo mwakani City mtabadilishana nao nafasi ya Saba au?
 
hapo chini norwich anasubiriwa siku ifike tu aambiwe umeshuka labda ashinde 17-0 na wes brom wafungwe.

 

acha ujinga wewe kwangu mimi ni bora achukue city kuliko liverpool,arsenal.chelsea....kwa taarifa yako mpinzani mkuu wa man utd ni liverpool sio city uliza uambiwe...city are just noisy neighbours.....LIVERPOOL ndio mpinzani mkuu wa man utd so afadhali achukue city ila sio liverpool.
 

Mtu chake bana, wewe endelea na wimbo wako wa kuhamia mtaa wa saba, waachie watu wa Man City washerehekee juhudi zao. Kuzamia kushangilia ubingwa wa timu zingine na wewe ulishiriki ligi hiyo hiyo na kukamata nafasi ya sana ni sawa na kutembea na ndizi mfukoni kuvizia wapi kuna hitma ule pilau. Acheni kuzamia sherehe za watu, ridhikeni na kile mlichopata msimu huu hata kama ni kibaya...
 
ni MosDef na mr wise na Baba Kelvin hawa ni Liverpool damu!!!

Man City, walitumia zaid ya £100million katika Usajili wao this summer, wana depth kubwa sana ya kikosi!!!

Then pia Sijaunga mkono team moja kuwa na game tatu, kwenye week ya mwisho ya League!!!
 
Last edited by a moderator:
Man City, walitumia zaid ya £100million katika Usajili wao this summer, wana depth kubwa sana ya kikosi!!!

Then pia Sijaunga mkono team moja kuwa na game tatu, kwenye week ya mwisho ya League!!!


mkuu,viporo ni DISADVANTAGE.......hamna timu inapenda kuwa na viporo.....viporo vya man city vimesababishwa na fa cup na capital one.....hata man utd wamekuwa na viporo mwisho sababu ya CL
 
mkuu,viporo ni DISADVANTAGE.......hamna timu inapenda kuwa na viporo.....viporo vya man city vimesababishwa na fa cup na capital one.....hata man utd wamekuwa na viporo mwisho sababu ya CL
[/B]

ingekuwa ni disdvantage, Mourinho asingelalamika kuhusu viporo vya Man city..

Man City ilitolewa mapema sana UCL, na baada ya FA cup ile, sidhani kama alikuwa na game yyte ile zaid ya PL tu..so haikuwa fair, team ambayo ni title contender kuwekewa kiporo kwenye week ya mwisho ya League..Na Man city wameitumia hiyo nafasi!!!
 

Usimsikilize Morinyo Mara nyingi huwa anaongea kinafiki sana
 

mkuu...Mourinho analalamika kila kitu.....man city wamefika semi final ya FA CUP, fa cup inachezwa weekend....wamefika final ya CAPITAL ONE nayo inachezwa jumapili wakati wengine wanacheza ligi.....LIVERPOOL hamkushiriki CL,fa cup na capital one mmetolewa mapema

nb:hatua za mwanzo za fa cup na capital one cup ratiba yake haigongani na ligi kwa sababu timu almost zote zinashiriki,ila kuanzia semi final ratiba ya ligi inakuwepo kwa sababu zimebaki timu chache hivyo inayoshiriki makombe haya game zake zinaahirishwa tu waliotolewa wanaendelea na ligi.

viporo ni disadvantage hamna advantage yoyote kucheza mechi tatu kattika wiki badala ya mechi moja...Mourinho huyo huyo alisema Liverpool watachukua kombe kwa sababu hawashiriki CL sina haja ya kukwambia kwanini alisema hivyo.
 

kulikuwa na gap ya weeks ngapi tangu Man city atolewe FA cup???
 
RRONDO, wewe ni shabiki wa Man utd, so sidhani kama unaweza ukaona, Jinsi gani kubakiwa na game 3 zaidi ya zile mbili mbili za Liverpool na chelsea, kumewapa faida Man city!!!

na kwa sababu ni shabiki wa man utd nitakuwa fair.....wewe huwezi kuwa fair...nimekuwekea fixtures za man city hapo onyesha sehemu inayoonyesha wangeweza kufuta hivyo viporo....tuongee kwa facts sio hisia au ushabiki.
 
na kwa sababu ni shabiki wa man utd nitakuwa fair.....wewe huwezi kuwa fair...nimekuwekea fixtures za man city hapo onyesha sehemu inayoonyesha wangeweza kufuta hivyo viporo....tuongee kwa facts sio hisia au ushabiki.

Kwan kiporo chao na Sunderland kilfutwa vipi??

Everton walitumia week ngapi kufuta viporo vyao vyote viwili??

Zaid ya Capital One, Man city UCL walitoka mda sana, Kiporo chao na sunderland kilikuwa baada ya Hali ya hewa kuharbika the same to Everton, kiporo chao cha Pili kilikuwa ni baada ya game za FA, the same to Everton!!!

So Everton viporo vyao walivifuta vipi??..wakat range ya Fixtures zao kila baada ya week mbili zote zinafanana??
 
na kwa sababu ni shabiki wa man utd nitakuwa fair.....wewe huwezi kuwa fair...nimekuwekea fixtures za man city hapo onyesha sehemu inayoonyesha wangeweza kufuta hivyo viporo....tuongee kwa facts sio hisia au ushabiki.

RRONDO nimekukubali japo mimi ni mbumbumbu ktk masuala haya ila you are fair and just.
 
Last edited by a moderator:
yaya is great

Jana kawakimbiza mabeki wawili sijui watatu wa aston aise walikua wanaona bukta tu inapepea mara paaa! Wavu ukatikisika, kijana kapachika bao la 4 na kuifanya mci kufikisha mabao 100 kwa msimu huu. Hongera sana majirani zangu mci.
 

we are talking about man city here. go and check their fixtures and point out to me a date when they could play those extra games and they didnt. weka facts sio blah blah blah. im done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…