The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

ndetichia lete maneno, huku anfield liva wanakoswakoswa cha pili, newc noma sana
 
Last edited by a moderator:
Goooo, dk ya 39 mabingwa wanapata bao la kwanza hapa, mci 1-0 west
 
nilikuwa nafuatilia na ule uzi wa ngorongoro tumepigwa mkuu..

Haya jirani yangu ndani ya jiji la manchester habari ndo hiyo, ila sina mzuka na timu yoyote inayoitwa taifa staz, klm staz sijui ngorongore hiroz, usiniulize sababu ntakueleza badae. Mpira sasa ni mapumziko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…