ha ha ha ha ha ha
stkcity 1-mancity 57
Hii game ni ngumu sana na nilijua tu lazima pawe pagumu sana hapa
utatulia tu we are cityzen mkuu..
Pole sana ha ha ha ha
Dk 71 city 0 - 1 stoke
watakuwa tu....Mkuu hao Stoke sio mickey mouse team!
Final Score.
Mkuu hao Stoke sio mickey mouse team!
eti enhee ndio ipo hivyo..The Swans wanaongoza EPL so far 3 out of 3 ... ..... ... 9 points.
Aisee hawa watoto ni hatari.. Ila watakaa tu..