FT Man city 0 - Stock city 2
Nasikia mmepigwa kwenu
bado game haijaisha mkuu..
FT: ManCity 0 - Stoke City 1.
ushaosha nipo mpole hapa na wasubiri chelski niwaone tu..Bado tu?...
Ha haaaa! EPL mpaka raha. Hamna cha nyumbani, watu wanapiga tu. Fingaz crossed!! Naomba wapigwa kingine hali ya hewa itulie.