barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Uyu kocha wa Palace ni kiboko mweee yaani tangu atue pale Palace imekua inatisha balaaa... Polen sana ndugu zangu umu
Shikamoo Crystal Palace......
Jitahidini msishuke daraja muendelee kutupatia raha kama hizi.
Vitimu vidogo vidogo kama Man city vikifungwa hata dunia haitikisiki.
Daah wamechomoa damn..