Sio kuchomoa tu...na kupigilia msumari...
Leo mnalala mapeeeeeeema! Nasikia kocha wenu ameandaliwa haki zake tayari.Game on come on city..
Endelea kuleta matokeo au umekimbia kwenda kulala! Tayari aroba dhidi ya wahed!Hii tusipo shinda tuna kaa nje ya uefa mwaka mmoja.,
HT unt 2 - 1 city
Mkuu bado ndoto yako ipo?tulia tu uone tunavo mpiga manure..
tulia tu uone tunavo mpiga manure..
kabahatisha baada ya kichapo cha muda mrefu..Hiyo ndo man united mkuu....shetani mwekundu!!
kabahatisha baada ya kichapo cha muda mrefu..
Leo mnalala mapeeeeeeema! Nasikia kocha wenu ameandaliwa haki zake tayari.
4 kweli ni kubahatisha uko???
Majirani mpo......teh teh teh poleni sana shetani hakunywa Damu yenu muda mrefu sana